BANDA MEDIA BLOG

KOCHA JURGEN KLOPP ASHANGAA MASHABIKI KUONDOKA WAKATI AKIPATA KIPIGO CHA KWANZA


Kocha ya Liverpool Jurgen Klopp amekiri kuwa alihisi ameachwa mwenyewe uwanjani wakati akishuhudia mashabiki wa timu yake wakiondoka katika dimba la Anfield jana baada ya kupachikwa bao la pili na Crystal Palace.

Kocha huyo aliangalia nyuma uwanjani baada ya Scott Dann kufunga goli la kichwa na kufanya matokeo kuwa 2-1, na kushuhudia mashabiki wa Liverpool wakiondoka dimbani badala ya kukaa kuhamasisha wachezaji kurejesha goli hilo.
Mashabiki wa Liverpool wakiondoka jukwaani baada ya kufungwa bao la pili
Mchezaji wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard alishuhudia kipigo hicho



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG