Vitendea kazi alivyokutwa navyo.
Maombi hayo dhidi ya Chonji na mkewe yaliwasilishwa kwa hati ya dharura
mahakamani hapo Septemba 13, mwaka huu mbele ya Jaji Wilfred Dyansobela.
MBALI YA CHONJI NA MKEWE
AG ameiomba mahakama hiyo imzuie Chonji, mawakala wake au mtu mwingine
yeyote kwa niaba yake, kuhamisha umiliki wa mali, kupangisha nyumba au
kuombea mikopo (ili serikali ifuatilie uhalali wa upatikanaji wa mali
hizo).
|