Msimamizi
wa Programu ya “African Dream” kutoka CAVB ( Shirikisho la Mchezo wa
Mpira wa Wavu Afrika) Paul Bitok wa pili kutoka kulia akimuuliza jambo
Katibu Mtendaji wa Chama cha Mpira wa Wavu nchini ( TAVA) Bw. Allen
Alex alipotembelea Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
kujadiliana juu ya maendeleo ya mchezo huo nchini,Wa kwanza kutoka
kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Olimpiki Tanzania Bw. Muharam
Mchume Picha na Benjamin Sawe
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda wa pili kutoka kushoto akimuelezea Msimamizi wa Programu ya “African Dream” kutoka CAVB ( Shirikisho la Mchezo wa Mpira wa Wavu Afrika) Paul Bitok jinsi Serikali inavyoshirikiana na Chama cha Mpira wa Wavu nchini katika kukuza mchezo huo.Picha na Benjamin Sawe
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Olimpiki Tanzania Bw. Muharam Mchume wa kwanza kushoto akimuelezea Msimamizi wa Programu ya “African Dream” kutoka CAVB ( Shirikisho la Mchezo wa Mpira wa Wavu Afrika) Paul Bitok wa pili kutoka kulia jinsi wanavyoshirikiana na Serikali katika kukuza mchezo huo.Msimamizi yupo nchini kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya mchezo huo. Picha na Benjamin Sawe

Tags
MICHEZO KITAIFA