BANDA MEDIA BLOG

UNADHANI UPO UTOFAUTI KATI YA MKANGAFU NA MDINDIFU HII NI MOJA VINYWAJI VYA KITAMADUNI ZA WANGONI.....

 
Kinjwanji kizuri ambacho ukinywa zaidi kinageuka kua kilevi, ni moja kati ya vinjwaji wanavyopenda sana wangoni.





Hupo Mkangafu na Mdindifu , wajuzi wa kinywaji hutofauti kwa kuonja tu ...

Mara upatikana kipindi cha masika na utumiwa baada ya shughuli za shamba na uchungaji ....

Siku ukifika Songea kutana na wenyeji wakupatie uonje.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG