Wadau wakiendelea na majadiliano katika mkutano huo.
Mratibu
wa kudhibiti Ukimwi Mkoani Mbeya (RACC-Regional AIDS Control Coodinator
) Dkt Francis Philly akizungumza katika kikao hicho ambacho
kimehudhuriwa na wadau mbalimbali wa masuala ya afya mkoani katika
ukumbi wa Cofee Garden jijini Mbeya
Mwakilishi wa Kampuni ya Mbeya Cement jijini Mbeya ambaye ni Mratibu wa Masulaa ya Afya na Jamii Grace Nyatori akichangia katika mkutano hiuo ambao unalenga kujadili na kupitisha bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani .
| Festo Sikagonamo kushoto Mkuu wa shirika la Elimisha pamoja na Neema Stanton Afisa Mahusiano wa Mamlaka ya Maji safi na maji taka jijini hapa wakishirika katika mkutano huo. |
| Wadau wakiendelea na majadiliano. |
Mwakilishi wa Kampuni ya Mbeya Cement jijini Mbeya ambaye ni Mratibu wa Masulaa ya Afya na Jamii Grace Nyatori akichangia katika mkutano hiuo ambao unalenga kujadili na kupitisha bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani .
| Mhariri wa habari kutoka Radio Ushindi jijini Mbeya Edom Mwasamya akizungumza namna ambavyo vituo vya radio vitakavyo weza kuchangia kufanikisha zoezi hilo la siku ya Ukimwi Duniani. |
Tags
HABARI KITAIFA