Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kuendeleza wafugaji Nyuki
Tanzania (TABETO) kukagua shamba lake la Zuzu siku moja baada ya
kuzindua chama hicho mjini Dodoma Oktoba 31, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tags
HABARI KITAIFA
