Baadhi ya washiri wa Baraza la
Maulid wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati alipohutubia
Baraza hilo kwenye ukumbi wa Karimjee jijiniDar es salaam Desemba 24,
2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim katika
baraza la idd alilolihutubia kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
salaam Desemba 24, 2015. ,Kushoto ni Bw. Azim Dewji na wapili kulia ni
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku na kulia nii
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga, Hamisi
Mgeja na baadhi ya washiriki wa baraza hilo baada ya kuhutubia Baraza
la Idd kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Desemba 24, 2015
Tags
HABARI KITAIFA