BANDA MEDIA BLOG

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ATOA ZAWADI ZA SIKUKUU YA KRISMASI KWA WATOTO WANAOISHI KWENYE KITUO CHA KUHUDUMIA WATOTO CHA KIJIJI CHA MATUMAINI MKOANI DODOMA MWANZONI MWA WIKI

 
Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma Bi. Ziada Nkinda (Aliyebeba Mtoto) akikabidhi zawadi za siku kuu ya Noeli (Christmas) zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli kwa watoto wanaoishi kwenye kituo cha kuhudumia watoto cha kijiji cha matumaini Mkoani Dodoma.

 
Meneja wa kituo cha kuhudumia watoto cha kijiji cha matumaini kilichopo Dodoma  Padiri Vicent, kwa niaba ya watoto wa kituo hicho, akimshukuru Bi. ziada Nkinda kwa kukabidhi zawadi zilizotolewa na Mhe. Rais John Pombe Magufuli zikijumuisha mchele kilo 121, Mbuzi wawili na mafuta ya kupikia lita 40 vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya laki sita.

PICHA NAOFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG