BANDA MEDIA BLOG

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BARAZA LA SENETI NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI MH. PIERRE NKURUNZINZA

891
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Ndugu Reverien Ndikuriyo, Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi.
892
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Ndugu Reverien Ndikuriyo, Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi. PICHA NA IKULU

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG