![]() |
| Tingatinga la CDA likibomoa vibanda katika soko la maili mbili kisiwani |
![]() |
Askari wakiimalisha usalama wakati wa uvunjaji huo![]() |
![]() | |
| Baadhi ya wakazi wa mtaa wa maili mbili Kisiwani wakiangalia uvunjaji huo. |
![]() |
| Wakati zoezi hilo la uvunjaji likiendelea wauza mbao katika Eneo hilo hilo waliendelea kufanya biashara zao bila kubugudhiwa |
![]() |
| Baadhi ya bidhaa zilizokuwa zikiuzwa katika moja ya vibanda hivyo |
Tags
HABARI KITAIFA








