BANDA MEDIA BLOG

BONDIA DANNY GARCIA AMDUNDA KWA POINTI ROBERT GUERRERO

Bondia Danny Garcia amemdunda kwa pointi Robert Guerrero na kuweka mazingira ya kupata mchezo wa marudiano na Amir Khan.

Garcia aliyeanza vibaya alibadilika taratibu na kuweza kuzimudu vyema raundi zilizofuatia baadae na kufanikiwa kushinda mkanda wa uzito wa welterweight WBC.

Garcia ameweza kushinda mchezo huo ulioshuhudiwa na Khan aliyemtwanga kwa KO mwaka 2012, pia alikuwapo Floyd Mayweather akitazama pambano hilo la mkanda huo ambao aliwahi kuutwaa.
              Bondia Robert Guerrero akimtwanga ngumi ya kushoto Danny Garcia
                                    Danny Garcia akimpa konde la chini ya kwapa Guerrero 
           Floyd Mayweather akiwa na Mchekeshaji Dave Chappelle wakifuatilia pambano hilo

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG