BANDA MEDIA BLOG

WANANCHI WENYE MASHAMBA KATIKA ENEO LA MKALAMA KATA YA MAKULU MANISPAA YA DODOMA WAMEAMUA KUACHANA NA FIDIA ZA ARIDH TOKA CDA KUTOKANA NA MADAI KUWA WAMECHELEWESHEWA MALIPO YAO TANGU MWAKA JANA

Sehemu za mashamba katika eneo la mkalama linalopaka na majengo ya chuo kikuu cha Dodoma UDOM

Sehemu hii ni ya mashamba ambayo tayari ilishapimwa na CDA lakini wakulima wenye maeneo wanadai kutolipwa fedha zao mpaka mwisho wa Mkata wao wa miezi 6

Bwawa la Mkalama lilipo pembezoni mwa mashamba ambayo yanadaiwa kutolipiwa fidia  huku tayari yakianza kuuzwa kwa wenye Fedha na kuachwa wanakijiji


Wananchi hao wakiwa wamekusanyika katika maeneo ya mashambako ambako wanadaia Bado hawajalipwa na CDA Waliokwishapima tangu mwaka jana




Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG