BANDA MEDIA BLOG

DR. TIBOROHA AZUA ‘TIMBWILI’ YANGA

DSC_0069 (1)
Wanachama wa klabu ya Yanga wameibuka makao makuu ya klabu yao kupinga kujiuzulu kwa aliyekuwa katibu mkuu wa klabu hiyo Dr. Jonas Tiboroha ambaye inaelezwa amechukua uamuzi huo kutokana na shinikizo kutoka kwa mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuf Manji.
DSC_0050
Leo imetoka taarifa kwamba Dr. Tiboroha ametangaza rasmi kujuzulu wadhifa wake na ameshakabidhi barua ya kuachia nafasi hiyo huku akisema kwa sasa anataka aendelee na maisha yake ya kazi nyingine lakini si ya kuiongoza klabu ya ‘Wana Jangwanni’.
DSC_0061
Mara baada ya taarifa hizo kuwafikia wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga, walikusanyika kwenye makao makuu ya ofisi za klabu yao wakipinga kujiuzulu kwa Dr. Tiboroha uku wakidai hilo ni shinikizo na si maamuzi kamili ya katibu huyo.
DSC_0060
Picha za matukio mbalimbali kama yalivyonaswa na camera yetu ya shaffihdauda.co.tz ‘Timu ya Ushindi’.

DSC_0077 DSC_0076 DSC_0055 DSC_0054 - Copy DSC_0049

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG