BANDA MEDIA BLOG

HAYA NI MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJILI JANA KATIKA MBIO ZA KM.21 NUSU MARATHON HAPA KAZI TU. MJINI DODOMA

Mshindi wa Kwanza Wanawake Anjelina Daniel akimaliza kwa kushangilia mbio hizo na kujinyakulia zawadi ya Pikipiki yenye thamani ya mil 3
Msindi wa Kwanza wanaume wa mbio za km 21 nusu Marathon, Emanuel Giniki akimaliza kwa kuminya saa yake


Mashindano yoyote si lelemama hawa ni baadhi ya washiriki wa mbio hizo wakigangwa baada ya kushikwa na misuri IMEANDALIWA NA BANDA BLOG




Mbunge wa jimbo la Mbulu vijijini akiruka salakasi uwanjani hapo

Mshiriki wa mashindano hayo raia wa japani akimaliza wa mwisho katika mbio hizo za km 21

Mbunge wa jimbo la Mburu Vijijini Flatei Massay akionyesha umahili wa kuchezea mpira kwa kijiti kilichopo mdomoni


Msaani wa Bongo moavi Dokii akiruka juu kumuunga mkono kwa kupiga msamba mmoja wa mwanasalakasi aliyekuwa akiburudisha wakati wanariadha walipokuwa wakisubiliwa kuingia katika uwanja wa jamhuri mjini Dodoma
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa  na Mchezo Nape Nnauye akizungumza katika mashindano hayo
Waziri Mkuu Majaliwa akitoa hutuba

Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Rais wa Chama cha Raidha na Mkimbiaji aliyoweka historia ambayo bado haijafutwa Duniani Filibert Bay

Waziri mkuu Kassimu Majaliwa akiwa pamoja na viongozi mbalimbali walipokuwa wakisubili kuanza kutoa zawadi za washindi wa mashindano ya Riadha katika uwanja wa jamhuri
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti maalumu Muwakirishi wa Kampuni ya GSM iliyodhamini mbio za km. 21 nusu Marathon Hapa kazi tu, zilizofanyika Dodoma Deo Ndejembi

Mshindi wa kwanza wanawake akipokea zawadi ya Pikipiki taka kwa Waziri mkuu Kassimu Majaliwa

Mshindi wa kwanza wanawake akipokea zawadi ya Pikipiki taka kwa Waziri mkuu Kassimu Majaliwa

Mshindi wa kwanza wanaume akielekezwa jambo na Mwakilishi wa kampuni ya GSM Deo Ndejembi iliyodhamini mbio hizo za km21 nusu Marathon Hapa kazi Tu.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG