BANDA MEDIA BLOG

MASTAA KIBAO WA SOKA UINGEREZA WAHUDHURIA MICHEZO WA NBA 02 ARENA

Mchezo wa Ligi ya NBA uliochezwa jana usiku Jijini London Uingereza umehudhuriwa na mastaa mbalimbali wa soka nchini Uingereza.

Nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza wa sasa na wa zamani walifika kwenye uwanja wa O2 Arena kushuhudia Toronto Raptors wakichuana na Orlando Magic katika mchezo huwa wa kila mwaka Jijini London.

Wachezaji wa Arsenal na Chelsea nimiongoni mwa walioshuhudia mchezo huo wa NBA, huku mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba akipata fursa ya kuonyesha uwezo wake katika kikapu pia. 
                               Didier Drogba akionyesha uwezo wake wa kucheza kikapu
    Alex Oxlade-Chamberlain, Carl Jenkinson na Olivier Giroud wakifuatilia mchezo huo wa NBA
Mchezaji wa zamani wa Chelsea Michael Ballack akifuatilia mchezo huo akiwa na mpenzi wake Natacha Tannous

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG