Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi
Augustine Mahiga akihutubia jana wakati wa mahafali ya Chuo cha
Diplomasia yaliyofanyika jana chuoni hapo Kurasini jijini Dar es salaam
na kuhudhuriwa na wahitimu wa shahada mbalimbali, Wahadhiri na wageni
waalikwa ambapo mmoja wa Mwanahabari kutoka kituo cha Televisheni cha
ITV Bw. Spensor Lameck alikuwa ni mmoja wa wahitimu.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi
Augustine Mahiga akiwa katika jukwaa kuu na viongozi mbalimbaliwa chuo
hicho pamoja na wahadhiri wakati wa mahafali hayo.
Mwanahabari kutoka kituo cha
Televisheni cha ITV Bw. Spensor Lameck akipata picha ya pamoja na
wahitimu wenzake wakati wa mahafali hayo.
Mwigizaji wa filamu Christina Manongi maarufu kama Sinta kulia akiwa na mhitimu mwenzake wakati wa mahafali hayo.
Mwanahabari kutoka kituo cha
Televisheni cha ITV Bw. Spensor Lameck akipata picha ya pamoja na
Christina Manongi maarufu kama Sinta kulia na mhitimu mwenzao.
Tags
ELIMU