Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura aliyenyoosha mkono
akiongea na baadhi ya wasanii waliojenga katika kijiji cha Wasanii na
wanahabari kilichopo Wilayani Mkuranga wakati ya ziara aliyofanya ya
kujionea shughuli za maendeleo ya sekta ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Wilayani humo. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh.
Abdalla Ulege akiongea na wakazi wa jimbo lake wakati wa ziara ya Naibu
Waziri, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia
Wambura ya kujionea shuguli za maendeleo ya sekta hiyo. (Picha na
Benjamin Sawe- WHUSM)
Mwenyekiti wa mtandao wa wasanii
(SHIWATA) Bw. Cassim Talib katikati akimuonyesha baadhi ya nyumba za
wasanii na wanahabari zilizopo Wilayani humo Mh. Anastazia Wambura wa
kwanza kushoto wakati ya ziara ya kujionea shughuli za maendeleo ya
sekta ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Wilayani humo., kulia ni
msanii wa sanaa za maigizo maarufu kama mzee Chilo. (Picha na Benjamin
Sawe- WHUSM)
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura akisalimiana na Mbunge
wa Rufiji Mh. Allyseifu Ungando wakati wa ziara ya kujionea maendeleo
ya sekta ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wilayani humo. (Picha na
Benjamin Sawe- WHUSM)
Tags
HABARI KITAIFA