Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin Wiliam
Mkapa. Rais Dkt. Magufuli alikwenda kumsalimia Rais mstaafu Mkapa
nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Picha na IKULU