BANDA MEDIA BLOG

TALGWU WAFANYA KIKAO CHAO CHA BARAZA MJINI DODOMA


Naibu Katibu Mkuu wa Talgwu Ndugu Njaa akipeana mikono na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI George Simbachawene wakati alipokuwa akimkaribisha katika viwanja vya Royal Villege alipofika kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Baraza la wafanyakazi kabla ya mkutano wao mkuu.
Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene akifafanua jambo wakati alipokuwa akifungua Kikao Cha Baraza la wafanyakazi wa Serikali za Mitaa TALGWU kilichofanyika mjini Dodoma,  IMEANDALIWA NA BANDA BLOG


Zawadi Toka kwa Mwenyekiti
Waziri Chawene akiwa na akina mama TALGWU nje ya ukumbi wa mikutano wa Royal Villege Dodoma

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG