BANDA MEDIA BLOG

WAHARIRI WA GAZETI LA MAWIO WAJISALIMISHA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

jabi
Wahariri wa Gazeti la Mawio wakijisalimisha makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam leo mara baada ya Jeshi la Polisi kutangaza kuwatafuta popote pale kwaajili ya kutoa maelezo kwa kuandika habari ya upotoshaji kwa jamii, wakiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda katika makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam.(Picha kwa hisani ya Michuziblog)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG