BANDA MEDIA BLOG

MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA SHERIA, KILIVYOFANA JANA KANDA YA DODOMA


Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma Cresensia Makulu akitoa hutuba ya mahakama wakati wa kilele cha siku ya Sheria kilichofanyika katika viwanja vya Mahakama mjini humo.
Kwaya ya wafanyakazi wa mahakama kuu kanda ya Dodoma wakitoa Budaruni ya nyimbo kwa wananchi na viongozi mbalimbali walihudhuria kilele cha maadhimisho ya siku ya Sheria
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Farida Mgomi, akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho hayo
Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu Kanda ya Dodoma Cresensia Makulu akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Chamwino Farida Mgomi aliyekuwa Mgeni Rasmi badara ya mkuu wa mkoa wa Dodoma, Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kwenye kilele cha maadhimisho hayo
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akiwapamoja na viongozi wengine kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria yaliyofanyika jana katika viwanja vya mahama ya Dodoma IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG
Mawakili wa kujitegemea kwenye maadhimisho hayo
Mazungumzo Meza kuu
Wananchi waliohudhuria
picha ya pamoja kati ya majaji na wanafunzi wa sheria chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)
Wanasheria wa Serikali wakiondoka katika viwanja Vya maadhimisho hayo
Wakitoka

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG