Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (katikati) na
Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick
(kulia) Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) na
Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick
(katikati) Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiagana na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) na
Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick
(katikati) baada ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam
Februari 15, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tags
BIASHARA