Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete
akipokelewa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati
alipowasili kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM yanayofanyika kwenye
uwanja wa Namfua mjini Singida ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria
wakiongozwa na Mh. Rais Jaohn Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mh.Mama
Samia Hassan Suluhu pamoja naye Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.PICHA NA JOHN BUKUKU-
FULLSHANGWE-SINGIDA.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete
akisalimiana na Mh. Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM na
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo mara baada ya kuwasili
uwanjani hapo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete
akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singinda Mh. Parseko Kone.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete
akizungumza na Mh. Rais John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mh.Mama
Samia Hassan Suluhu, Kushoto ni Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim
Majaliwa.
Msafara wa Mh. Rais John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida tayari kwa kuhudhuria sherehe hizo.
Mh.Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Mh. Dk. Parseko Kone
Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Rais Dk. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa mara baada ya
kuwasili uwanjani hapo katikati ni Makamu wa Rais Mama Samia
Suluhu Hassan.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mikono wana CCM na wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja huo.
Malkia wa Mipasho mwimbaji wa Taarabu Khadija Kopa akiongoza kundi la TOT kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM mkoani Singida.
Baadhi ya wasanii wa Bongo Move waliohudhuria katika maadhimisho hayo kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida.
Makamu wa Rais Mama Samia Hassan
Suluhu akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
wakati alipowasili kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida kulia ni Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akitambulisha viongozi mbalimbali waliohudhuria katika maadhimisho hayo.
Umati wa wananchi waliohudhuria kwenye maadhimisho hayo.
Mwimbaji Peter Msechu kulia akiongozana na kundi la bendi ya Yamoto Band tayari kwa kutumbuiza katika maadhimisho hayo.
Kundi la Yamoto Band likitumuiza kwenye maadhimisho hayo.
Kundi la TOT likitumuiza wimbo maalum wa kuzaliwa kwa chama cha Mapinduzi.
Rais Dk. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rechel Mashishanga aliyekuwa mbunge wa viti maalum
kupitia CHADEMA mkoani Singida na sasa amerejea CCM.
Tags
HABARI KITAIFA