BANDA MEDIA BLOG

KAMPUNI YA TIGO YADHAMINI BONZA LA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA DODOMA

Katibu wa Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Dodoma (CPC) Bilsin Vedastus akiongea jambo kwenye Hafla Fupi ya kupokea msaada toka kampuni ya TIGO kwa ajili ya Bonza la waandishi wa habari mkoa litakalofanyika Feb, 14.2016 katika viwanja vya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wengine ni Makamu Mwenyekiti wa CPC Rachel Chibwete, Afsa Mawasiliano wa TIGO John Wanyancha na mwenyekiti wa CPC Habel Chidawali
Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Dodoma (CPC) Habal Chidawali akiongea jambo kwenye Hafla Fupi ya kupokea msaada toka kampuni ya TIGO kwa ajili ya Bonza la waandishi wa habari mkoa litakalofanyika Feb, 14.2016 katika viwanja vya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)

Afsa Mawasiliano wa Kampuni ya TIGO John Wanyancha akifafanua Jambo kabla ya Kukabidhidhi Vifaa Mbalimbali vya michezo zikiwemo bidhaa za kampuni hiyo kwa ajili ya Bonanza la waandishi wa habari litakalojumuisha michezo mbalimbali, linalotarajiwa kufanyika Feb, 14 mwaka huu katika viwanja vya UDOM, IMEANDALIWA NA BANDA BLOG

                                           
Afsa Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkoni ya TIGO John Wanyancha akimkabidhi moja ya Jezi za kuchezea Mpira, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma Habel Chidawali katika hafla iliyofanyika katika New Dodoma Hotel

Asante










Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG