Askari wa Kikosi cha uokoaji wakiwa
wameubeba mwili wa marehemu Mkunwa Makanyaga uliokutwa ukielea kwenye
kisima cha maji katika mtaa wa nzuguni 'A'.
Wananchi hao wakiuangalia mwili huo kabla ya kuopolewa kwenye maji
![]() |
| Wakazi wa Nzuguni wakiwa wamekizunguka Kisima cha maji ambacho kilichopo pembeni mwa nyumba ambapo mtu mmoja alikutwa amekufa maji. |

![]() |
| Moja ya visima 14 vilivyopo katika mtaa wa Nzuguni 'A' Manispaa ya Dodoma ambapo mwili wa marehemu Mkunwa Makunganya ulikutwa ukielea siku tatu baada ya kupotea nyumbani. |
Tags
HABARI KITAIFA







