BANDA MEDIA BLOG

AFSA KAZI MKOA WA DODOMA AWATAKA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA UJENZI YA CRJE KUACHA MGOMO AMBAPO SASA WATALIPWA 12,500 KWA SIKU BADALA YA 5000

 Afisa kazi mkoa wa Dodoma Jacob Mwinula akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na wafanyakazi wa kampuni ya Kichina inayojenga majengo mbalimbali ya serikali ya CRJE baada ya wafanyakazi hao kugoma kufanyaka wakidai mikataba na kulekebishiwa mishahara yao.



no 2 Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya CRJE wakiwa nje ya majengo wanayoyajenga baada ya kugoma ufanya kazi wakidai stahiki zao. IMEANDALIWA NA BANDA BLOG


 No 5 Afsa kazi wa Manispaa ya Dodoma Jacob Mwinula akiongea na wafanyakazi hao wakati nyuma yake wamiliki wa kampuni hiyo wakiteta jambo.

 Baadhi ya wachina wakiwa juu ya moja ya majengo yanayojengwa mjini Dodoma wakiwaangalia wafanyakazi wakitanzania wanavyolalama kudai stahiki zao ikiwemo mikataba ambayo wamekuwa wakidai zaidi ya miaka 10 sasa.
 Baadhi ya majengo yanayojengwa na kampuni hiyo ya kichina ya CRJE ambao waligoma wakidai kupewa stahiki zao






Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG