Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisalimiana na Athumani Hamisi
alipomtembelea nyumbani kwake Sinza Madukani jijini Dar es
Salaam. Athumani Hamisi alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya
Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na
Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo akisalimiana na
Athumani Hamisi alipomtembelea nyumbani kwake Sinza Madukani jijini Dar es Salaam, kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye. Athumani Hamisi alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na
Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi.

Athumani Hamisi akizungumza
machache juu ya hali yake inavyoendelea mbele ya Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto) na Mkurugenzi
Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo.
Athumani Hamisi akizungumza
machache juu ya hali yake inavyoendelea mbele ya Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto) na Mkurugenzi
Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimjulia hali Athumani Hamisi
alipomtembelea nyumbani kwake Sinza Madukani jijini Dar es Salaam,
kushoto ni mtoto wake wa kwanza Msafiri Athumani na kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Glogal Publishers Ndugu Eric Shigongo. Athumani Hamisi
alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Daily/Sunday News na Habari Leo,
yanayomilikiwa na Serikali kupitia Shirika lake la Standard
Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo
vyake kutokufanyakazi
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza waandishi wa habari ambapo
alisema Serikali itaendelea kumsaidia Athumani Hamisi na kutafuta
suluhisho la kudumu. Athumani Hamisi alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti
ya Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na Serikali kupitia
Shirika lake la Standard Newspaper,
ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya
Glogal Publishers Ndugu Eric Shigongo akiagana na Mtoto wa kwanza wa
Athumani Hamisi anayeitwa Msafiri Athumani.
…………………………………………………………………
Waziri wa Habari utamaduni Sanaa
na michezo Nape Nauye ameahidi kutatua changamoto zinazomkabili
aliyekuwa mpiga Picha na mwandishi mwandamizi Athumani Hamis. Wazir Nape
ametoa kauli hiyo alipomtembelea nyumbani kwake , Sinza Dar es salaam
akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Global Publisher Eric
Shigongo. Waziri Nape ameamua kumtembelea Athmani kutokana na kutambua
mchango wake kwenye tasnia ya habari ambapo aliitumikia kwa muda mrefu
kabla ya kupata ulemavu. “Amefanya Kazi kubwa serikalini, sisi kama
serikali tunao wajibu wa kumsaidia”. “Nimechukua Yale yote ambayo
yanachangamoto kwake na tunachukua uamuzi wa kumsaidia,”alisema Wazir
Nape.
Waziri Nape amempongeza Rais MstaafuJakaya Kikwete kwa kumsaidia Athmani katika kipindi chote cha uongozi wake na kwamba yeye kama Waziri mwenye dhamana kwa kushirikiana na wadau wengine wataendelea kutoa msaada kwa Athmani na familia yake.
Pia Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo ametoa wito kwa Watanzania kutoa msaada kwa moyo mmoja.

Tags
HABARI KITAIFA