BANDA MEDIA BLOG

NIMEKUWEKEA PICHA 50 ZA MATUKIO MBALIMBALI YA BONANZA LA WAANDISHI WA HABARI MKOANI DODOMA LILILOHUSISHA MICHEZO MBALIMBALI NA BURUDANI, CHINI YA UDHAMINI MNONO WA TIGO

Timu ya waandishi wa habari Dodoma

Rais wa UTPC Deogratias Nsokolo akisalimiana na wachezaji wa timu ya TIGO waliocheza na waandishi wa habari Kwenye Bonanza katika uwanja wa chuo cha UDOM nje kidogo mjini Dodoma


Rais wa shirikisho la vyama vya wanahabari Nchini (UTPC) Deogratias Nsokolo akisalimiana na Mmiliki wa Blog Hii John Banda wakati alipokuwa akikagua timu ya Waandishi wa habari wa Dodoma wakati wa mchezo wa Bonanza kati yao na Timu ya Tigo. IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG








































Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG