Michezo Kutoka Kigali Rwanda pichaz na vikosi vya APR Vs Yanga kabla ya mchezo
byJohn Banda-
0
Mtu wangu wa nguvu kabla ya mchezo
kuanza naomba nikusogezee pichaz za vikosi vya Yanga na APR
vitakavyoingia uwanjani kuchuana katika mchezo wa kwanza wa raundi ya
pili ya klabu Bingwa Afrika.