Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza wakijipatia chakula cha mchana
katika mgahawa wa Victoria uliopo nye ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza
alipopumzika kwa muda kabla ya kuelekea nyumbani kwake Chato mkoani
Geita kwa mapumziko mafupi. Pamoja nao mezani hapo ni Meya wa Ilemela
Mstahiki Renatus Mulunga, Meya wa jiji la Mwanza Mstahiki James Bwire,
Mkuu wa Mkoa wa MWanza Mhe John Mongella na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo
Ndg Anthony Diallo.PICHA NA IKULU

Ndg Anthony Diallo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza wakiondoka baada ya kupata chakula
cha mchana katika mgahawa wa Victoria uliopo nye ya Uwanja wa Ndege wa
Mwanza alipopumzika kwa muda kabla ya kuelekea nyumbani kwake Chato
mkoani Geita kwa mapumziko mafupi.
Tags
SIASA