|
Mshindi wa droo ya kwanza wa
Promosheni ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu
ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na
Barcelona Machi mwaka huu ambao leo wamepata zawadi Gilbert Tarimo
akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) baada ya kukabidhiwa
zawadi Promosheni hiyo ya ushirikiano wa Tigo Pesa na Azam TV, itaisha Machi 13 na washindi wawili watakwenda Hispania.
|