Kontena la Maskani ya kisonge Mjini Unguja laripiliwa kwa bomu na watu wasiojulikanwa usiku wa jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shei akipata maelezo kutoka
kwa Kiongozi wa Maskani ya Kisonge John Mwakanjuki leo wakati
alipotembelea maskani hiyo baada ya kupata hasara kubwa ya mripuko wa
bomu na watu wasiojuilikanwa usiku wa jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia
hasara iliyopatikana katika Maskani ya Kisonge iliyotokea jana kwa mripuko wa bomu uliosababishwa na watu wasiojuilikanwa, (wa pili kushoto) John Mwakanjuki alipotoa maelezo zaaidi kuhu tukio hilo leo wakati alipotembelea maskani hiyo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akizungumza
na wanachama wa CCM na wapenda amani wakati alipofika katika Maskani ya
Kisonge Mjini Unguja leo kuangalia hasara iliyopatikana kutokana na mripuko wa bomu uliosababishwa na watu wasiojuilikanwa jana usiku,