WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR MHE OMAR YUSSUF AZINDUA TAWI LA BANK OF AFRICA MLANDEGE ZANZIBAR.
Tawi
Jipya la Bank Of Africa lililofunguliwa na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe
Omar Yussuf Mzee likiwa Tawi la 22 Bank Of Afrika Nchini Tanzania,
linalotowa huduma za Kibenki.
Wajumbe
wa Bank Of Africa wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Nchini
Tanzania Bwa. Ammish Owusu-Amoah, katikati wakizungumza wakimsubiri
Mgeni rasmin Waziri wa Fedha Zanzibar.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Bank Of Africa Tanzania Balozi Mwanaidi Maajar akisalimiana
na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee alipowasili katika
viwanja vya Bank hiyo hapo mlandege kwa ajili ya Uzinduzi wa Bank hiyo.
Waziri
wa Fedha Zanzibar akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Bank Of Africa
alipowasili katika eneo hilo. akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya BOA, Balozi
Mwanaidi Maajar.
Afisa
Bank Of Africa Kaishe Godwin, akitowa maelezo wakati wa Uzinduzi wa
Bank hiyo ilioko Mtaa wa Mlandege Zanzibar, wakati hafla hiyo.
Waziri
wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee na Wajumbe wa Bodi ya Bank Of
Africa wakimsikiliza Afisa wa BOA akitowa maelezo katika hafla hiyo.
Tags
BIASHARA