Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir
Mayardit akiwa amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wimbo wa Taifa ukipigwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir
Mayardit wakipiga makofi mara baada ya kufurahishwa na wimbo wa bendi ya
Polisi iliyokuwa ikitumbuiza Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir
Mayardit kabla ya utiaji saini wa Mkataba wa Sudani Kusini kujiunga na
Jumuiya ya Afrika Mashariki ikulu jijini Dar es Salaam.
Tags
HABARI KITAIFA