Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifungua pazia kuashiria
kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu
kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara
Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.(PICHA NA IKULU
na Raymond Mushumbusi MAELEZO).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifungua pazia kuashiria
kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu
kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara
Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya namna
mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi
wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na
Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16,
2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipungia mkono wananchi baada
ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu
kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara
Jijini Dar es Salaam.

Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia katika hafla ya
kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu
kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara
Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi na kuanza kwa ujenzi wa
mradi wa barabara ya juu Tazara Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbaliwa kitaifa
na kimataifa wakati wa ufunguzi rasmi na kuanz akwa ujenzi wa mradi wa
barabara ya juu Tazara Jijini Dar es Salaam.
Tags
HABARI KITAIFA