BANDA MEDIA BLOG

UKIWA NDANI YA USAFIRI WA BARABARANI NA KUPITA BARABARA HIZI LAZIMA KIROHO KIKUDUNDE



Barabara refu ya chini ya ardhi kuliko zote duniani iliyopo nchini Norway, ikiwa na urefu wa maili 15.2.


          Barabara inayokatiza juu ya maji iliyojengwa mkoa wa Hubei nchini China

 
Barabara ya Tateyama Kurobe iliyopo Japan ambayo watalii wamekuwa wakienda kuishangaa
Barabara iliyolando ya mlima nchini Bolovia ambayo imepachikwa jina la barabara ya kifo
                 

Daraja la Storseisundet lenye mkunjo wa ajabu lililopo nchini Norway  

Daraja la Kuandinsky lililopo mkoa wa Trans-Baikal nchini Urusi, limejengwa kwa mbao na chuma za reli kunawakati huwa linatereza

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG