Naibu Spika wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwahutubia baadhi ya
Wabunge kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa kujadili
namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya silaha,
leo Jijini Dar es Salaam
Naibu Spika wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwahutubia baadhi ya
Wabunge kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa kujadili
namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya silaha,
leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Mhe. Balozi Ramadhani Mwinyi akiwahutubia baadhi ya Wabunge kutoka nchi
mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa kujadili namna gani nchi za
Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya silaha, leo Jijini Dar es
Salaam.

Mratibu kutoka Umoja
wa Mataifa Bwana Alvaro Rodriguez akiwahutubia baadhi ya Wabunge kutoka
nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa kujadili namna gani nchi
za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya silaha, oleo Jijini Dar
es Salaam.
Tags
Bunge