Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
akiteta jambo na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah kabla ya kuanza
kwa kikao cha Kamati cha Kamati ya Uongozi ya Bunge leo tarehe 2/42016
Ofisi ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.Kamati hiyo inayojumuisha
Wenyeviti wote wa Kamati za Kudumu za Bunge ilikutana ili kufanya
thathmini ya shughuli za kamati za Kudumu za Bunge kabla ya Serikali
kuwasilisha Mapendekezo ya Mpango na ukomo wa Bajeti ya mwaka 2016/17
wiki ijayo.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
akiongoza kikao cha Kamati cha Kamati ya Uongozi ya Bunge. Kamati hiyo
inayojumuisha Wenyeviti wote wa Kamati za Kudumu za Bunge ilikutana ili
kufanya thathmini ya shughuli za kamati za Kudumu za Bunge kabla ya
Serikali kuwasilisha Mapendekezo ya Mpango na ukomo wa Bajeti ya mwaka
2016/17 wiki ijayo.

(Picha na Ofisi ya Bunge)
Tags
Bunge