Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na wasambazaji wa filamu na
muziki nchini wakati wa mkutano kati yake na wasambazaji hao uliojadili
namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji
na uchumi wa Taifa.(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM)
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na wasambazaji wa filamu na
muziki nchini wakati wa mkutano kati yake na wasambazaji hao uliojadili
namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji
na uchumi wa Taifa, katikati ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bi.
Joyce Fissoo. .(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM)
Baadhi ya wasambazaji wa filamu
na miziki nchini wakitoa mchango wao wa jinsi ya namna gani ya kuboresha
tasnia ya filamu na muziki wakati wa mkutano na Mh. Nape Nnauye hayupo
pichani kwa faida ya uchumi wa wasanii, wasambazaji na Taifa kwa ujumla.
.(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM)
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akikagua ubora wa moja ya kazi
zinazosambazwa na moja ya kampuni ya usambazaji nchini wakati wa mkutano
kati yake na wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia
hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa.kushoto
kwake ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce
Fissoo.(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM)
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu
nchini Bi. Joyce Fissoo akimuonyesha Mh. Waziri moja ya vielelezo
vinavyotumika kupanga madaraja ya filamu mbalimbali kutokana na ubora wa
filamu husika wakati wa mkutano kati Wizara na wasambazaji hao
uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii,
wasambazaji na uchumi wa Taifa. .(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM)
Tags
KIBURUDANI