Spika
wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai (kushoto), Mbunge wa Jimbo la
Busega Dkt. Raphael Chegeni(katikati) na Mbunge wa Jimbo la Chalinze
Ridhiwan Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo mara baada ya mapumziko
ya mchana jana mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai (kushoto) wakibadilishana mawazo
na Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphael Chegeni(kulia) mara baada ya
mapumziko ya mchana jana mjini Dodoma
Mbunge
wa Jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa(kulia) akibadilishana mawazo na
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari(katikati) na Mbeya Mjini Mhe.
Joseph Mbilinyi(kulia) mara baada ya mapumziko ya mchana ya wabunge
mjini Dodoma.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhomgo(katikati) akibadilishana
mawazo jana mjini Dodoma na baadhi ya wananchi na wabunge waliofika
Bunge waliofika leo mjini Dodoma kusikiliza hotuba ya makadirio ya
matumizi ya fedha ya Wizara yake kwa mwaka ujao wa fedha.