BANDA MEDIA BLOG

TCRA YAWANOA WADAU WA MAWASILIANO KANDA YA ZIWA KABLA YA KUZIMA SIMU BANDIA.

Wadau wa Mawasiliano Kanda ya Ziwa, wakiwa katika picha ya
pamoja katika Semina juu ya utoaji wa elimu juu ya simu bandia (fake) na halali
(orginal) ulioandaliwa na TCRA, kabla ya kusitisha matumizi ya simu bandia
mwezi ujao.
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), imeendelea
kuwakumbusha watumiaji wa simu za mkononi kuhakiki simu zao kabla mamlaka hiyo
haijazima simu bandia ifikapo Juni 16 mwaka huu.
Wadau wa Mawasiliano Kanda ya Ziwa, wakiwa katika picha ya
pamoja katika Semina juu ya utoaji wa elimu juu ya simu bandia (Fake) na halali
(Original) ulioandaliwa na TCRA, kabla ya kusitisha matumizi ya simu bandia
mwezi ujao.
 
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), imeendelea
kuwakumbusha watumiaji wa simu za mkononi kuhakiki simu zao kabla mamlaka hiyo
haijazima simu bandia ifikapo Juni 16 mwaka huu.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG