| RAS Rehema Madenge akipewa maelezo ya Dawa toka kwa mjasriliamali |
| Akiangalia Dawa ya Kuacha Pombe na Sigara |
| Mtengeneza Bidhaa za Ngozi ikiwemo Mikanda akionyesha wateja hawapo pichani kwenye maonyesho hayo |
| Katibu Tawala wa Mkoa Rehema Madenge akifafanua jambo alipokuwa akiyafunga maonyesho hayo IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
| Sahara Media Group walikuwepo na Bidhaa zao za Ving'amuzi |
Tags
HABARI KITAIFA