Kikundi
cha ngoma cha Nyati cha mkoani Dodoma kikitumbuiza wakati wa Uzinduzi
wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 hadi
2020/21, utakao gharimu shilingi Trilioni 107, katika Ukumbi wa Chuo Cha
Mipango Dodoma, Juni 7,2016
Mkurugenzi
Mkuu wa TAKUKURU, Valentino Mlowola akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya
Nje Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, Wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Pili wa
Maendeleo wa Taifa wa miaka Mitano utakao gharimu shilingi Trilioni
107, huku Mawaziri Prof. Jumanne Maghembe na Prof. Sospter Muhongo nao
wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma, Juni
7, 2016
Mbunge
wa Mhe. Chalinze Ridwani Kikwete, akicheza ngoma ya kigogo inayochezwa
na Kikundi cha ngoma cha Nyati cha mkoani Dodoma, wakati wa Uzinduzi wa
Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 hadi
2020/21, utakao gharimu shilingi Trilioni 107, katika Ukumbi wa Chuo Cha
Mipango Dodoma, Juni 7,2016
Mbunge
wa Korogwe Vijijini Mhe. Steven Hillary Ngonyani 'Maji Marefu' akicheza
ngoma ya kigogo inayochezwa na Kikundi cha ngoma cha Nyati cha mkoani
Dodoma wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa
Miaka Mitano 2016/17 hadi 2020/21, utakao gharimu shilingi Trilioni 107,
katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango Dodoma, Juni 7,2016
Mmoja
wa wadau wa maendeleo, akionesha Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa
wa miaka 5, baada ya kukabidhiwa na Mhe. Waziri Mkuu Majaliwa K.
Majaliwa, katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma, Juni 7, 2016
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe. Hawa Ghasia, akisoma kitabu
cha mpango wa Pili wa Maendeleo ya Taifa wa Miaka Mitano
2016/17/2020/21, utakao gharimu shilingi Trilioni 107, baada ya
kuzinduliwa rasmi katika Chuo cha Mipango Dodoma Juni 7, 2016