BANDA MEDIA BLOG

MSASA WA SDGS WAENDELEA UDOM, VITIVO VYAKAMILIKA

Hoyce Temu teaching about SDGs in UDOM
Mtaalamu wa mawasiliano katika Ofisi ya Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Hoyce Temu akiendesha mafunzo ya Malengo ya Maendeleo Endelevu Duniani (SDGs) kwa nia ya kuwawezesha kutumia maarifa yake kusukuma mbele maendeleo ya mkoa wa Dodoma kwa wanafunzi wa vitivo mbalimbali na walimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) yaliyomalizika jana chuoni hapo.
SDGs lecture at UDOM
Pichani juu na chini ni Sehemu ya wanafunzi na walimu wa UDOM wakimsikiliza mkufunzi Hoyce Temu (hayupo pichani) kwa makini wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyomalizika jana chuoni hapo. UDOM Students listening attentively about SDGs

UDOM students learning about SDGs

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG