BANDA MEDIA BLOG

HIVI NDIVYO WAKUU WA WILAYA ZA MKOA WA DODOMA WALIVYOKULA KIAPO NA BAADA YA HAPO WAKAPEWA UJUMBE MZITO NA RC RUGIMBANA

Mkuu wa Wilaya ya Bahi Elizabeth Kitundu akiapa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana

Mkuu mpya wa Wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga akiapa mbele ya mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana, ambapo hata hivyo ni wakuu wa wilaya 6 pekee ndiyo waliyoapa bila kuihusisha wilaya ya Kongwa

Mkuu wa Wilaya ya Chemba Simon Odunga akiapa kwa Kushika Bablia Mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana

Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini Christina Mndeme akiapa mbele ya Mkuu wa Mkoa huo Jordan Rugimbana huku akishuhudiwa na waandishi wa vyomba mbalimbali vya habari wakiwemo viongozi wa kada mbalimbali, Waasisi wa Mkoa, na wakuu wa Dini       IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG
 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugembana akimkabidhi vitendea kazi ikiwemo katiba Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Sezaria Makota mara baada ya Kumuapisha

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa akiapa

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Jabir Shekimweri akiapa kwa kushika koraan Tukufu mbele ya mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Wilaya za Bahi, Kondoa, Chamwino, Mpwapwa , Chemba na Dodoma mjini wakiwa pamoja na Ndugu zao

Ndugu Mbalimbali wa Wakuu wa Wilaya za mkoa wa Dodoma wakiwa katika ukumbi wakishuhudia kuapishwa kwao

Picha ya pamoja ya mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana, Wakuu wapya wa Wilaya na Wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa mkoa huo

Picha ya pamoja ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana, Wakuu wapya wa Wilaya na wakurugenzi wa halmashauri za wilaya za mkoa huo

Balozi Lusinde na Panglsi Ndejembi mwenye miwani aliyewahi kuwa mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM wakiteta jambo muda mfupi kabla ya wakuu wapya wa wilaya za Mkoa wa Dodoma kuapishwa

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG