BANDA MEDIA BLOG

CDA YAHOJIWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI [PAC] MJINI DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa CDA Paskas Mulagili akifafanua jambo wakati alipokuwa akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na Wabunge wa kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali [PAC] ambapo watendaji wa mamlaka hiyo waliitwa kuhojiwa
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma Felsta Bura akizungumza jambo wakati alipokuwa akiuliza swali kwa watendaji wa CDA walioitwa kuhojiwa na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali [PAC]

Mwenyekiti wa Bodi ya CDA Jenista Mhagama akizungumza jambo mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali ambapo watendaji wa Mamlaka hiyo waliitwa kuhojiwa IMETENGEZWA NA BANDA BLOG
MAHOJIANO YAKIENDELEA

Wajumbe wa kamati hiyo wakisoma vitabu vya Taarifa za  CDA


Watumishi wa CDA wakiwa katika ukumbi wa Hazina kwa ajili ya Kuhojiwa



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG