BANDA MEDIA BLOG

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAJIONEA HATUA ZA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA DODOMA, AMBAO KWA SASA UMEFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 80

Uwanja wa Ndege wa Dodoma unavyoonekana kwa sasa wakati ukarabati ukiendelea
Mhandisi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege  Mbita Mdemu akizungumza jambo wakati alipokuwa akitoa maelezo ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma ulipofikia kwa sasa kwa wabunge wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu

Wabunge waliyopo katika kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiingia kukagua ujenzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma ulipofikia sasa

Katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi Dkt, Leonard Chamriho akimkabidhi Taarifa ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Dodoma jinsi unavyoendelea Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu Professa Norman Sigala IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG





Katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi Dkt, Leonard Chamriho akiongea jambo wakati alipokuiwa akisoma Taarifa ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma mbele ya wabunge wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu waliofika kutaka kujua maendeleo ya ujenzi huo

Watendaji wa Wizara na wa kampuni ya ujenzi ya Chico

Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Dodoma akielekeza jambo kwa wabunge hao

Ndege zikiwa katika uwanja huo uliyopo katika hatua za mwisho za ujenzi


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG