BANDA MEDIA BLOG

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole akutana na wakazi wa Tandale Uwanja wa Fisi.

pal1
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema akisisitiza jambo kwa wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
pal2
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema akisisitiza jambo kwa wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama katikati ni mjumbe wa Bodi hiyo Bi. Teddy Killa na mwisho kulia ni mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Ben Mwalutende.
pal3
Wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema (hayupo pichani) wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.

pal4
Mjumbe wa Bodi ya Parole akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama, kulia ni mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Ben Mwalutende.
pal5
Msoma Risala kwa niaba ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
pal7
Mmoja ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi ambaye jina lake halikupatikana akimueleza Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema kero mbalimbali zinazowakabili hasa akina mama wakati Mwenyekiti huyo alipowatembelea mapema hii leo.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG