Picha za Zari Hassan Akijiachia Kuonyesha Ujauzito Wake
byJohn Banda-
0
Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’
akijiachia kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa pili na
mpenzi wake mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz