| Askofu Mkuu wa Kanisa Kuu Katoliki la Dodoma Beatus Kinyaiya azunguma jambo wakati alipokuwa akihubiri katika ibada ya kiapaimara hiyo |
| Wahitimu wa kike wa kipaimara |
| Mkurugenzi
wa Shule ya Martin Luther Mmanga Rabiel akifanua jambo wakati alipokuwa
akitoa usia kwa wazazi wa watoto wanaosoma katika shule hiyo IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
| Keki kabla haijakatwa |
| Picha Mbalimbali za kufundishia zikiwa katika ukuta wa shule hiyo |
| Jengo la Shule hiyo |
| sehemu ya madhabahu ya kanisa hilo |
| Mmoja wa wazazi akitoa shukurani |
| jengo la kanisa shuleni hapo |
| Majadiliano na MC wa shuhuli hiyo |
| Askofu akiongoza sala ya kipaimara |
| Askofu huyo akilishwa Keki kwenye sherehe ya kuwapongeza watoto hao |
| Asikofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma Beatus Kinyaiya Pamoja na Mkurugenzi wa Shule ya Martin Luther Mmanga Rabiel wakifuatilia jambo wakati wakiwaangalia watoto wa shule hiyo wakitoa burudani |
| Mkurugenzi huyo akiapongeza walimu ambao pia wakitoa huduma ya kiroho katika shule hiyo |
| Mmmoja wa watoto waliopata kipaimara akimlisha keki mkurugenzi wa shule ya Martin Luther Mmanga Rabiel |
| Baadhi ya Watoto waliopata Ekarsti Takatifu ya kipaimara |
Tags
HABARI ZA DINI